Featured

    Featured Posts

    Social Icons

    .
Loading...

Sugu alivyosababisha ndani ya Dar Live katika Tamasha la Usiku wa Sugu


Sugu akiwarusha mashabiki walifurika ndani ya Dar Live usiku wa kuamkia leo.

Mbunge wa Arumeru Mashariki (Chadema), Joshua Nassari nae akitoa 'verse' kuupamba usiku wa Sugu ndani ya Dar Live.

Profesa Jay akiwapa burudani mashabiki wa Dar Live.

Mapacha kutoka kundi la Vinega wakiiteka steji ya Dar Live.

Juma Nature na kundi lake la Wanaume Halisi likifanya makamuzi stejini.

...wanaume Kazini.

Baadhi ya mashabiki wakiwa katika picha ya pamoja na Mhe. Sugu.

.....................................................................................................................................
Hivyo ndivyo ilivyokuwa usiku wa Kuamkia Leo ndani ya Dar Live ambapo Msanii Mkongwe wa HIPHOP Sugu ambae pia ni Mbunge wa Jimbo la Mbeya Mjini alipanda stejini hapo kutoa Burudani kwa mashabiki wake.Ulijulikana kama Usiku wa Sugu walikuwepo pia Juma Nature, Profesa Jay, Vinega, Mkoloni na wengineo wengi kwenye shoo hiyo iliyokuwa ya aina yake.
Zaidi ingia hakingowi.com
author

This post was written by: Author Name

Your description comes here!

Get Free Email Updates to your Inbox!
© Copyright Udaku Kijiweni
Back To Top