Loading...
Taswira ya Kinu cha NMC Iringa
Hili ndio jengo refu kuliko yote mjini Iringa. Kwa miaka mingi jengo hili limekuwa halitumiki kwa kazi zake zilizokusudiwa. Jengo hili lina kinu kikubwa cha kusaga na kuhifadhi nafaka. Awali lilikuwa likimilikiwa na Shirika la Usagishaji la Taifa (NMC).
MAPEMA mwaka jana serikali iliamua kukikabidhi kinu hicho cha NMC Iringa kwa Bodi ya Nafaka na Mazao Mchanganyiko.
Kinu hicho chenye kiwanda cha kusaga unga, kina vienge virefu vyenye uwezo wa kuhifadhi tani 13,500 za nafaka, na maghala mawili yenye uwezo wa kuhifadhi tani 3,500 za nafaka na tani 1,100 ya unga.
Habari zaidi tembelea......http://www.frankleonard.blogspot.com
Post a Comment
CodeNirvana