Loading...
Taswira za Kinu cha Iringa(NMC)
Nembo ya Shirika la Usagishaji la Taifa enzi hizo ''NGUVU''
Mh.Zitto Kabwe akiwa ndani ya Ghala la kuhifadhia mahindi katika kinu cha NMC Iringa leo hii walipo fanya ziara kuingalia NMC
Mashine za kiwanda cha Usagishaji Iringa. Kufuatia ubinafsishaji hakuna uzalishaji katika kiwanda hicho.
Taswira ya kinu cha NMC Iringa ikipnekana kwa kupendeza kabisa.Waasisi wa Nchi yetu walijenga miundombinu ya usalama wa chakula.Kutokana na ubinafsishaji Kiwanda hicho hakijaweza fanya kazi kama kilivyokuwa hapo zamani Sasa mfumuko wa bei unaangamiza watu kwa vyakula kuwa bei juu.
(Picha Kwa Hisani Ya Mh.Zitto Kabwe)
Post a Comment
CodeNirvana