Featured

    Featured Posts

    Social Icons

    .
Loading...

Taswira za Wema Sepetu ndani ya Nyumba yake Mpya


Ukutani hapo ni kitu cha Flati kama uonavyo na vikorombwezo vyake sauti inayotoka ni ileile Hapo no chenga unaambiwa !!

Koridoo hilo liking'aa kwa rangi mwanana kabisa usiulize watokea wapi ukipita hapo Omba mwaliko ndugu ukaone mwenyewe hapo KIjitonyama na maji ya kunywa utapewa buureee!!

Eeeeh hapo ni kwa kukalia panaitwaje vileee...?? Chekishia mwenyewe.

Ukiambia na maji utapewa ndio uamini teena hapo chekishia kitu kwa mbaali hapo eeeh ..Upo ?

Bi dada mwenyewe huyo akitoa maelezo namna nyumba ilivyo mpangilio wa rangi na mapambo yaliyowekwa humo....
Picha ZAIDI tembelea http://djchoka.blogspot.com



author

This post was written by: Author Name

Your description comes here!

Get Free Email Updates to your Inbox!
© Copyright Udaku Kijiweni
Back To Top