Featured

    Featured Posts

    Social Icons

    .
Loading...

Taswira:Ziara ya Nape Mkoani Njombe ilivyofana.


Huo ni msafara wa Nape ukiwa unatokea Ludewa na kuingia Mjini Njombe kwa mbwembwe kubwa kama taswira inavyoonyesha.

Pichani Nape Nnauye akihutubia eneo Mlangali, Wilayani Ludewa mkoa mpya wa Njombe.Hapo akisisitiza jambo muhimu kwa Wananchi hao.

Hapo ni Mlangali wanachi wakimsikiliza kwa makini Nape Nnauye akimwaga Sera za Chama Cha Mapinduzi.

Nape akipata picha ya kumbukumbu na watoto wa Mlangali kwa tabasamu na bashasha kubwa.

Mtoto Goodluck John wa shule ya awali ya Lutheran Malinzi, Njombe akifurahia na Nape Nnauye kwa Taswira moja nzuri.
Picha Na MO Blog.


author

This post was written by: Author Name

Your description comes here!

Get Free Email Updates to your Inbox!
© Copyright Udaku Kijiweni
Back To Top