Loading...
Tawi la Chadema Washington DC lazidi kumwaga kadi za uwanachama DMV.
Mwenyeketi wa tawi la Tawi la Chama Cha Demokrasia CHADEMA Washington DC Mhe. Kalley Pandukizi, pamoja na katibu wake Mhe. Libe Mwang'ombe akimkabidhi rasmi mwanachama ambaye ni mwana mitindo Linda Bezuidenhout (LB) katika ofisi ya tawi la Chadema Washington DC.
Mwenyekiti wa tawi la Tawi la Chama Cha Demokrasia CHADEMA Washington DC Mhe. Kalley pamoja na katibu wake Mhe. Libe Mwang'ombe wakipata picha ya pamoja na Linda Bezuidenhout Atlanta, Georgia na wanachama wa tawi la chadema Washington DC
Hapo ni mwendo wa chereko,Viongozi wa tawi la chadema Washington DC wakipata Champagne.
Linda Bezuidenhout (LB) akiserebuka kwa staili ya aina yake baada ya kuvua gamba na kuvaa gwanda na kuchukua kadi kuwa mwanachama kamili wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo Chadema. (Picha na CHADEMA)
Post a Comment
CodeNirvana