Featured

    Featured Posts

    Social Icons

    .
Loading...

Uholanzi wana kibarua Leo na Wajerumani


Van Persie hakuwa na mechi nzuri dhidi ya Denmark.Itakuwaje dhidi ya Ujerumani ?
Wajerumani waliwafunga Wareno Goli moja kwa nunge Huku Waholanzi wakishangazwa na Denmark Goli moja sifuri pia katika mechi iliyoshangaza wengi.
Hivyo basi kikosi hicho cha Waholanzi wana kazi ngumu ya kuweka matumaini yao hai kwa kupata matokeo mazuri Leo ili waweze kuwa na uhakika wa kuendelea kuwepo Euro 2012 inayoendelea.
Si mechi ya kukosa ni mechi nzuri ya kuangalia tukitazamia mechi nzuri na ya KUpendeza.
author

This post was written by: Author Name

Your description comes here!

Get Free Email Updates to your Inbox!
© Copyright Udaku Kijiweni
Back To Top