Featured

    Featured Posts

    Social Icons

    .
Loading...

BAADA YA MANENO MENGI NA FUKUNYU FUKUNYU NYINGI HATIMAYE MUME AMTETEA JACK WA CHUZI KUKOSA MTOTO

Stori: Imelda Mtema

MASKINI! Mume wa mwigizaji wa Bongo Movies, Jacqueline Pentezel ‘Jack Chuzi’, Gadner Dibibi amewataka watu wanaomsema mkewe huyo kuwa hapati mtoto, waache kwani wanajisumbua bure suala hilo ni la Mwenyezi Mungu.

Jacqueline Pentezel ‘Jack Chuzi’, akiwa na mumewe Gadner Dibibi.
Akizungumza na gazeti hili, Dibibi alisema alipomuoa Jack siyo kwamba alikuwa akifi kiria mtoto ila alijua mtoto analetwa na Mungu hivyo anaamini kuwa watampata tu hivyo amezidisha kumpenda.

“Mtoto ni majaliwa jamani, nilimuoa na nilijua wazi ipo siku Mungu akibariki tutapata mtoto na hata tukikaa miaka kumi bila mtoto siwezi kumuacha mke wangu kwa sababu hiyo, nampenda na nitaendelea kumpenda,” alisema Dibibi.

author

This post was written by: Author Name

Your description comes here!

Get Free Email Updates to your Inbox!
© Copyright Udaku Kijiweni
Back To Top