Featured

    Featured Posts

    Social Icons

    .
Loading...

ROSE NDAUKA:NAAPA SITAZAA NJE YA NDOA TENA


rose_ndauka_2012Mwanadada anayeuza nyago kwenye filamu Bongo, Rose Ndauka.

MAYASA MARIWATA  MWANADADA anayeuza nyago kwenye filamu Bongo, Rose Ndauka ameapa kuwa sasa hivi atajitahidi sana kuhakikisha hazai tena nje ya ndoa kwani anajua amemkosea Mungu na ndugu zake pia.


Akipiga stori na paparazi wetu, Rose alisema anajua alifanya kosa kujiachia na kubeba mimba nje ya ndoa lakini sasa amejifunza na hawezi kurudia kosa hilo.


“Sasa hivi niko makini kuliko mnavyofikiria, najizuia sana kuhakikisha sizai tena kabla ya kuingia kwenye ndoa. Yaani nitakuwa ni mwenye amani endapo mtoto wangu wa pili nitamzaa nikiwa ni mke wa mtu, Mungu anisaidie katika hilo,” alisema Rose.
author

This post was written by: Author Name

Your description comes here!

Get Free Email Updates to your Inbox!
© Copyright Udaku Kijiweni
Back To Top