- Ashinda kura kwa asilimia 70
Ndugu
Job Ndugai amechaguliwa kuwa Spika wa Bunge la 11 la Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania kwa kushinda kura 254, Katika uchaguzi ambao wapiga
kura walikuwa 365 zilizoharibika kura 2. .
Akifuatiwa na mgombea wa CHADEMA Goodlucky Ole Medeye kura 109 .
Kura zilizopigwa-365
Kura zilizoharibika-2
Malisa-0
Medeye-109
Rungwe-0
Almasi-0
Ndugai-254
Sarungi-0
Lymo-0
Kasimiu-0
Hata hivyo wagombea hao ambao walikuwa 7 kati ya 8 wameweza kutoa shukrani na pongezi kwa Ndugai wakisema anastahili na ndio maana akachaguliwa na kumtaka aongoze vyema bunge hilo