Featured

    Featured Posts

    Social Icons

    .
Loading...

WASTARA ASIFU PENZI TAMU ALILOPATA KWA SAJUKI

Imelda Mtema

NASEMA ukweli kabisa! Staa wa ‘grade one’ kunako filamu za Bongo, Wastara Juma ameweka wazi kuwa, tangu azaliwe, penzi pekee alilowahi kulifurahia ni la aliyekuwa mumewe na msanii mwenzake, marehemu Juma Kilowoko ‘Sajuki’.

Staa wa ‘grade one’ kunako filamu za Bongo, Wastara Juma.

Akichonga na Amani juzi, Wastara alifunguka kuwa, Sajuki ndiye mtu pekee aliyekuwa akimwelewa na kumpa mapenzi ya dhati.Aliongeza kuwa, Sajuki ndiye mwanaume aliyekuwa akimlinda siku zote na kumtetea katika jambo ambalo alikuwa akionewa.


“Jamani penzi lililowahi kunipa raha na kunifanya nifurahie maisha ni la Sajuki tu na si mwanaume mwingine yeyote. Hicho ndicho kitu kinachonifanya nimkumbuke sana kila wakati,” alisema Wastara
author

This post was written by: Author Name

Your description comes here!

Get Free Email Updates to your Inbox!
© Copyright Udaku Kijiweni
Back To Top