Na wewe ni mmoja wapo wa
wanaokoroma wakilala???Asilimia 45% ya watu wazima inasemekana
wanakoroma occasionally ,wengine hata mnawatania wenzenu wanaokoroma sio
issue.Ila snoring ina BOAA
”Wale wa ndani ya ndoa huwa
yaleta vijiproblems maana waweza usiweze kulala kabisa kama mwenzio
anakoroma na wengine huwa wana hama hadi vyumba si mchezo .
Sio tu kukoroma kuna boa ila
asilimia 75 ya watu wanaokoroma wana kitu kinaitwa obstructive sleep
apnea (jina la kitaalamu)hii ni il uhemaji unakuwa disrupted wakati wa
kulala na hua ina increase the risk ya kudevelop heart disease.
Kuna wanaoenda hospital
kucheki na madaktari ila kuna hizi natural solutions and lifestyle
changes ambazo unaweza kutumia ikasaidia ku stop snoring.
1. Change Your Sleep Position/Badili Pozi lako la kulala
Jitahidi kulala kwa ubavu kwasababu kulala kwa mgongo kunafanya the base ya ulimi wako na ile soft palate kuangukia kwenye ukuta wa koo lako which inasababisha kuwe na vibrating sound wakati ukalala hence unakoroma , so kulala kwa ubavu itasaidia.2. Punguza uzito /Lose Weight
Kupunguza uzito kunasaidia ila kuna watu wembamba na wanakoroma ,kama umeongezeka uzito na ukaanza kukoroma na hukua unakoroma kabla ya kuongezeka uzito basi weightlooss itakuasaidi.Kama umeongezeka weight around shingoni hii ina squeeze the internal diaeter ya koo lako inayofanya inaanguka wakati wa kulala na kusababaisha mtu kukoroma.3. Epuka unyawaji pombe/Avoid Alcohol.
Alcohol na sedatives/tranquilizer inapunguza ile resting tone ya mishipa nyuma ya koo lako ambapo mwisho wa siku ndo unakoroma.Pia kunywa pombe masaa manne mpaka matano kabla ya kulala kunafanya snoring to be worse.Watu ambao huwa hawakoromi basi wakinywa pombe huwa wengi wao wanakoroma .4. Kuwa na tabia ya kulala ukiwa msafi/sehemu safi/Practice Good Sleep Hygiene.
Poor sleep habits ina effect sawa na unywaji wa pombe ,kufanya kazi kwa masaa mengi bila kulala basi ukapata chance ya kulala unalala ukiwa umechoka sana.Na unalala very deep inayofanya mishipa kuwa floppier na kukufanya ukorome.
5. Open Nasal Passages.
Kama unakoroma kupitia puani basi kufungua hizi tundu za pua
kunaweza kukusaidi maana itafanya hewa ipite taratibu .Kama pua
imejifunga kwa mafua au chochote basi ukiwa umelala kule kuhema kwa
shida waweza kukoroma pia.
Kingine ni kuoga na maji ya moto au
vuguvugu inasaidia pia ,kingine kuwa na maji yenye chumvi kwa badfu yako
and rinse ur nose out wakati wa ku shower itasaidia kuopen up tundu za
pua.Nasal strips may also work to lift nasal passages and open them up — if the problem exists in your nose and not within the soft palate.
6.Change Your Pillows/Kuwa na utamaduni wa kubaidili mito yako mara kwa mara
Allergens kwa bedroom yako
au mito yako yaweza kuwa inachangia wewe kukoroma,au zile feni zenu kama
huna Ac safisheni feni hizo ziwe za chini au zile za juu ,badili mito
yako au ifue basi mara kwa mara iwe misafi.
wadudu /Mites wanaokaa
kwenye mito wanasababisha allegies na reaction yake yaweza kuwa
kukoroma.Kingine ni wale mnaolala na pets iwe paka ua mbwa wale wanaacha
manyoya yao na mites wao wanaowabeba yaweza kukuletea majanga ukivuta
hiyo hewa.
So badili mito yako kila baada ya miezi sita na usilale na pets kitandani.
7. Stay Well Hydrated
Kunywa vinywaji vya maji maji kwa wingi au hata matunda yenye maji mengi ,hakikisha una maji yakutosha mwilini mwako.” According to the Institute of Medicine, healthy women should have about 11 cups of total water (from all drinks and food) a day; men require about 16 cups.
Kwa ujumla hakikisha unapata muda wa kutosha kulala vizuri,jiepushe na pombe kabla ya kulala na oga na maji ya vuguvugu kama pua zimefunga .
CREDIT:8020
This post was written by: Author Name
Your description comes here!
Get Free Email Updates to your Inbox!
Filed Under:
UDAKU
on Tuesday, December 1, 2015