Vita hiyo imeendelea leo kwa Zari kuanza kumtupia mafumbo mwenzie Wema,wapambe wa Wema wakacharuka na kumuita boss wao Wema ambaye alitaharuki na kuuliza kipi kinachoendelea?
Ndipo mpambe wake anayejiita wemareplies alipomuwekea screen shot ya aliyoyasema Zari.
Wema nae akajibu huku akisisitiza hana muda na Zari wala kaka (Diamond)
Kama haitoshi akapost picha huku akiweka caption ya kuwa kafunzwa na mamie kugombana na watu wazima (Zari) ni kukosa adabu.
Ndipo Zari nae akamjibu kuwa yuko busy na kazi,asijisumbue.