Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Nnauye akipiga gitaa kwenye sherehe za uzinduzi wa Chaneli 294 itakayokuwa inapatikana kwenye king'amuzi cha DSTV. Waziri Nape aliwataka wasanii nchini kufanya kazi zenye ubora kwani zitaangaliwa na mataifa zaidi ya 11.
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Nnauye akizungumza na wasanii wa tasnia ya filamu Tanzania walipokutana kwenye uzinduzi chaneli 294 ya Clouds itakayo patikana kwenye DSTV.