Featured

    Featured Posts

    Social Icons

    .
Loading...

JOE RILEY KINDA WA MANCHESTER UNITED ANAYEMHUSUDU RONALDO

Joe Riley aliposti  Instagram  picha akiwa na Cristiano Ronaldo wakati huo akiwa mdogo akionyesha kuwa ametoka mbali hadi kufikia hapo alipo.Kwa sasa akiichezea Manchester United.
 
Joe Riley kinda mwenye umri wa miaka 19 anayekipiga  Manchester United alicheza dhidi Shrewsbury jumatatu usiku katika mchezo wa Kombe la FA akiingia kipindi cha pili.
author

This post was written by: Author Name

Your description comes here!

Get Free Email Updates to your Inbox!
© Copyright Udaku Kijiweni
Back To Top