Kama ulikuwa ni msiba wa ‘penzi’ basi arobaini imeisha na sasa maisha
yanaendelea kwa wasanii wa Bongo fleva, Shilole na Nuh Mziwanda ambao
uhusiano wao umekufa na kuzikwa kabisa.
Wiki chache baada ya couple ya ‘shiwanda’ kuvunjika, na juhudi za wadau mbalimbali kutaka kuwapatanisha kugonga mwamba (soma hapa), inavyoonekana Nuh na Shishi kila mmoja ameamua kuendelea na maisha yake kwa kufungua ukurasa mpya wa mapenzi tena kwa vitabu tofauti...
Siku ya Valentines Day Kwao ilikuwa mashindano kila mmoja akiwa busy kupost picha akiwa na au jipya....Tazama picha: Upande wa Nuh Mziwanda naye ameanza kupost picha za msichana mwingine mrembo anayetumia jina la Erah Erah kwenye Instagram, ikiwa ni pamoja na picha walizopiga pamoja kama couple, na mrembo huyo kupost pia kwenye ukurasa wake.