Featured

    Featured Posts

    Social Icons

    .
Loading...

Misukosuko ya ndoa

Jambo limekuwa likituumiza sana kwa wenye ndoa.
Kwani panapotokea seke seke ndani ya nyumba moto wake ni mkali sana.Huunguza sana ukianza na nyie wanandoa na kusambaa na kwa watoto hapa haijalishi mgomvi ni nani.
Pia kumekuwapo na misemo mingi lakini kuna huu hapa unasema Usiingilie ugomvi wa mtu na mkewe kwani wagombanao ndio wapatanao.WAkikutahadharisha kuwa baadae wewe ndio utaonekana ndi o mbaya.
LAkini hawa ni wa kuacha waendelee kugombana ili tusionekane wabaya au wanahitajika kupewa mawaidha kuwa wayafanyayo si mazuri au tuwaachie mpaka sumu hii ituachie majuto.Kwani wengine huchukua uamuzi wa hatari wa kuwadhuru hata watoto wao.Kisa hawataki kuwaacha watoto kwa mume au mwanamke mwingine.
Suala hili limekuwa likileta mipasuko ya hatari kwa jamii.
Je suluhisho n kuwaacha wagombane ili tusionekane wabaya au jamii inatakiwa kuchukua hatua zaidi.
Pia sie tunaooa au kuolewa tunakuwa tunajaribu maisha ya ndoa kuona nyuma ya pazia kuna nini.
Au ni ujio wa teknolojia ndio unasababisha yote haya kwani tumerahisishiwa kuwasiliana
Maswali ni mengi karibu tusaidiane kwani majibu au ufahamu wako unaweza kuponya ndoa mojawapo kati ya ndoa lukuki zenye misukosuko
author

This post was written by: Author Name

Your description comes here!

Get Free Email Updates to your Inbox!

1 maoni:

Mzee wa Rundugai.

MKUKI MOYONI.

Reply
CodeNirvana
© Copyright Udaku Kijiweni
Back To Top