Featured

    Featured Posts

    Social Icons

    .
Loading...

Kijiwe chalowa...

Ilikuwa ni huzuni kubwa kwani siku ile ndio tulijua kuwa nasi tutageuka Senegal kama walivyomfanya Ufaransa kipindi kile cha kombe la Dunia na kuanza kuchanua ktk ulimwengu wa soka.Lakini hatukujua kuwa kufika fainali za kombe la dunia si lelemama.Tulijua nasi tutawatoa nishai kumbe loo....jamani Msiba.
Tumepigwa tukaloa mji mzima kimya.
Lakini ni muda muafaka kabisa kukaa na kutizama tulikosea wapi tuptibu ili miaka ijayo tuwike.
Kama uliangalia ile mechi utaona kuwa tulikosa nguvu stamina,walikuwa wakitupa msuli nasi hao tunaachia njia,Maskini.
Pia kaziara ka Brazili nako kalitupa kiburi tukasahau kuwa tunakutana na kina nai tukaingia na mbwembwe mara wasafisha njia,mara tutapanga hoteli yetu bila kuwategemea wenyeji lakini tukasikia wamewapangia bonge la Hoteli,
Itabidi tudai chenji......si unajua ndio zetu wanaume ndio zetu...uuuh...uuuh TMK ile.
Jamani vijana hata nyumbani inapotokea kazi ngumu wanamwita kijana aje asaidie.
Sasa tumesahau ya Serengeti boys,wengine hao ndiio hivyo walishapindisha Miaka toka zamani ukitizama miaka na wajihi wake NOMA....
Mapesa sasa yahamishiwe kwa Vijana ili nao baadae watutoe tongotongo,hawa muda unakwenda na ze mwili nao umichoka basi sida tupu kufundishika mi naoni tabu.
Tumulike kurunzi letu kwa yoso
Shimba na Yangu walazimishe kujenga vikosi vya watoto kwani wao ndio wanauwezo likini pia kuna mtibwa.
KIlaaaaaaaa.........laaa........kheri kwa mechi zijazo...
Lakini pia tuangalie kwa macho MANNE hiyo Ziara ya Kina wataliii Raul Gonzalez.....
Mpaka sasa wanastahili kuja si heri umpeleke TEGETE Brazil tena Pele COPA Cbana
author

This post was written by: Author Name

Your description comes here!

Get Free Email Updates to your Inbox!
© Copyright Udaku Kijiweni
Back To Top