Tunajitakia umaskini wetu hayo ni maono ya mkubwa wa boti kubwa a.k.a injini ya nchi kumbe tukichapa kazi tutawini.Pia sie sio wazalendo ndio maana tukiwaona wakubwa kwa wadogo wakikwiba tunauchuna.Hatusumbui vichwa vyetu kwanini wanakwiba.
Naomba kuuliza uzalendo unajengwa kuanzia chini kwenda juu? Au unaanzia Juu kuteremka chini? Yaani kuanzia kwa viongozi kwenda kwa wananchi.
Wengine wanasema kwa kuwa serikali imekuwa tegemezi sana ndio maana nasi tumeambukizwa,Je ni kweli?
Karibu sana kijiweni
Loading...
7 maoni
Maswala ya uvivu , ni jawabu rahisi watu wapeanalo.Hakuna atakaye kula aoneaye uvivu kumpata dagaa na tonge kinywani. Uzalendo jambo pana. Ukiwa na njaa hukumbuki uzalenda.
ReplyAU?
Mzee Chediel,
Replynakupa pongezi nyingi sana kwa kuweza kukarabati blogu yako bila msaada wowote,
Mzee Simon kamaliza,kwa mafisadi ambao ni viongozi wa juu huwa wanashindwa na uzalendo AU?
Ahsante sana Ras,tunaendelea kuweka mambo safi.Endelea kutembelea Kijiweni.
ReplyMzee wa Rundugai tupe habari kikamilifu,hii tabia ya kupotea mienzi itaanza kupigwa faini.
ReplyChediel, nimekutag.
ReplyTujulishe vitu nane tusivyojua kuhusu wewe.
Vitu nane vinaweza kuwa ni vingi sana au ni vichache sana kuvitaja unapendelea kujua kipi haswa Mzee Kitururu
ReplyVitu nane ufikiriavyo hatuvijui
Reply