Featured

    Featured Posts

    Social Icons

    .
Loading...

Hili nalo je ?

katika kupitia pitia katika anga za http://www.luihamu-rastafarian.blogspot.com/nimekutana na makala ya inayohoji maneno tuyatumiayo Houseboy na House girl. Lakini ulishawahi kusikia jina la sasa walitumialo?
Katika sherehe moja huko Iringa Katika kutambulisha wageni mbalimbali familia moja ilipoanza kutambulisha watu walioambatana nao mtambulishaji alipofika kwa Huyo House Girl kwanza alipozi kwa sekunde kadhaa kabla hajasema kuwa huyu anaitwa DADA tuko nae pale nyumbani.
SASA hivi wasichana wengi hawa wanaitwa dada wamebadilishiwa jina
Je hili linawafaa au wanaendelea kuwadhalilisha?
KAribu kijiweni
author

This post was written by: Author Name

Your description comes here!

Get Free Email Updates to your Inbox!
© Copyright Udaku Kijiweni
Back To Top