Featured

    Featured Posts

    Social Icons

    .
Loading...

'Premier League' yazusha Zogo

Kwa takribani wiki sasa kuna msuguano unaendelea kati ya Taasisi ya Utangazaji na MOAT yote haya ni kuhusu kuonyesha moja kwa moja mechi ya Taifa stars na Msumbiji pia hatua ya TUT kupata haki zote za kuonyesha mechi moja kwa wiki za Ligi kuu ya Uingereza baada ya dau lao la zaidi ya milioni mia mbili kulishinda lile la vyombo vya habari binafsi ambao wanadai dau lao la milioni mia na tatu lingeshinda hivyo kuituhumu TUT kuwa inatumia vibaya kodi za wananchi.
TUT wanapewa ruzuku na serikali iweje wajiingize kwenye ushindani wa biashara?
MPAMBANO HUO UNAHITAJI MAWAZO YAKO
Ni kuwa sheria zetu ziko vibaya mpaka kuiruhusu TUT kuingia kwenye ushindani wa kibiashara huku wakijua kuwa wanapokea ruzuku?
Nini kifanyike kwa kuangalia wenzetu kama BBC au SABC wanajiendeshaje ?
Kelele hizi za MOAT ni za lazima ?
author

This post was written by: Author Name

Your description comes here!

Get Free Email Updates to your Inbox!
© Copyright Udaku Kijiweni
Back To Top