Kwa wale watakao penda kuwaona wanyama wetu kule mbuga za wanyama Si vibaya basi leo nikawaletea ndugu huyu ambaye alianzisha blogu lakini ndio hivyo tena amerudi tena hebu muangalie ndugu huyu kwa kubofya hapa www.realadventure-ltd.blogspot.com
ameahidi kuwaletea mapicha ya kule kwenye mbuga zetu za wanyama.
Karibuni kijiweni
Loading...
1 maoni:
Weeeee wa Rundugai,picha zipi hizo au na wewe mwanasiasa jameni?
Reply