Featured

    Featured Posts

    Social Icons

    .
Loading...

Mambo hadharani

Kwa wale walijiandikisha Chuo Kikuu Huria ili kuongeza nondo kichwani sasa mambo yako hadharani wakuu bofya hapahttp://www.openuniversity.ac.tz/intake%202007-2008/index.html
Pia wale waliomaliza kupiga nondo wacheki kwa kubofya hapahttp://www.openuniversity.ac.tz/docs/studinfo/graduant.htm
Si hao tu WANAONGEZEKA ENDELEA KUWATEMBELEA KILA WAKATI
Ujicheki au umcheki jamaa yako si Vibaya ukichungulia hapo juu.
Pia wanaoendelea kupiga nondo wanaweza kuangalia matokeo yao hapa http://www.sis.out.ac.tz/
Teknolojia bwana si mchezo

Karibu kijiweni
author

This post was written by: Author Name

Your description comes here!

Get Free Email Updates to your Inbox!

3 maoni

Ndugu yangu nimepita hapa kwenye kijiwe chako.Nimevutiwa sana na blog yako.Kazi njema.

Reply

HUYU WAKIJIWENI MAMBO YAKE MAKUBWA.

HAYA BWANA RUNDUGAI.

Reply

Karibu sana Evarist kwa kupita kijiweni tumekupata mkuu.

Reply
CodeNirvana
© Copyright Udaku Kijiweni
Back To Top