Featured

    Featured Posts

    Social Icons

    .
Loading...

KULIKONI JUMUWATA.

Nimejaribu kuwauuliza baadhi ya viongozi na wadau wa jumuwata kuhusu maendeleo ya JUMUWATA(jumuiya ya wanablogu Tanzania).

Baada ya kumuuliza Da Mariama wa http://blog.mirecipe.com/ kuhusiana na maendeleo ya JUMUWATA akajibu hivi nanukuu
Kuhusu JUMUWATA,Hii ni aibu sana sana kwa Watanzania wote waliojishughulisha. Viongozi waliochaguliwa inaonyesha walikuwa hawana nia ya kufanya shughuli yoyote kuendeleza JUMUWATA. Nimejaribu kufatilia lakini nilibanwa na mambo binafsi. Wote tunajiuliiza lakini hakuna majibu, walio na majibu ni Viongozi watatu waliochaguliwa.
Sikuchoka nikamuuliza Mzee Katibu Simon Kitururu kuhusiana na maendeleo ya Jumuwata nanukuu
rasta: sawa kabisa Mzee Simon,lakini unachochote cha kutueleza?au unakubaliana na maoni ya Da Mariam?
Katibu:@Rasta: Nakubaliana.

mimi na swali moja tu kwa wanajumuwata,KULIKONI JUMUWATA?

Imeandikwa na Rasta hapa.
author

This post was written by: Author Name

Your description comes here!

Get Free Email Updates to your Inbox!
© Copyright Udaku Kijiweni
Back To Top