Tupo si kwamba tumekimbia kijiwe bali ni vijimambo tu.
Vinanikumbusha enzi zile mtu unatoka home bila kuaga ....basi maza akaitaaaa weeee..kumbe jamaa kaenda kucheza ukirudi ukiulizwa unajing'ata vidole na kupangusa kamasi huku ukisikilizia bakora.
Basi nimerudi wakuu nasubiri bakora sijui mtanichapa ....?
Msinichape jamani naombeni.
Pia si vibaya nikawashirikisha hili kuwa sasa kijiweni hapa tumeongezeka Tareh 15.12.2007 tulifanikiwa kupata watoto mapacha.Mapacha hao mmoja ni wa jinsia ya kike na mwingine ni jinsia ya kiume nao ni Nasihiel na Kodema.Wanaendelea vizuri chini ya uangalizi wa dada yao Elizabeth.Sarah Mama yao nae anawasalimu.
Nami Baba yao naendelea vizuri tehetehe...tehe...tehe........
Loading...
4 maoni
MKUU HONGERA SANA YANI UMECHEZA KAMA GAUCHO AU MARADONA.HONGERAAAAAAAA MKUU.
ReplyMKUU HONGERA SANA YANI UMECHEZA KAMA GAUCHO AU MARADONA.HONGERAAAAAAAA MKUU.
ReplyNimechelewa , lakini HONGERA SANA MKUU!
ReplyHello. This post is likeable, and your blog is very interesting, congratulations :-). I will add in my blogroll =). If possible gives a last there on my blog, it is about the Livros e Revistas, I hope you enjoy. The address is http://livros-e-revistas.blogspot.com. A hug.
Reply