Loading...
Kwa mara ya kwanza toka mwaka 1966
Timu ya taifa ya North Korea jana ilitupa karata yake ya kwanza katika mchezo wake na Mabingwa mara tano wa kombe la Dunia Brazil.Walionyesha ufundi katika ngome yao na uwezo wa kunyang'anya mipira na pasi za haraka na kufanya mashambulizi ya haraka.Pamoja na kufungwa walionyesha kuwa hawakuja kusindikiza bali kushindana.
Post a Comment
CodeNirvana