Featured

    Featured Posts

    Social Icons

    .
Loading...

Ujenzi huu hadi lini ?


Umekuwa ni utaratibu ambao hatuna uhakika kama kweli wahusika wakuu wanautambua pale barabara zinapowekwa viraka kukaa karibu mwezi mmoja toka wachoronge saizi ya kiraka kile mpaka uwekaji lami wa kile kiraka kukamilika.Hayo yapo na yanazidi kujitokeza kiasi kwamba kuongeza/kuchangia foleni barabarani na pia kuendeleza uharibifu kwa kingo za barabarani hivyo ubovu kuendelea kuongezeka hapa wanazidisha tatizo juu ya tatizo hebu tembelea tabata bima kuelekea segerea uone viraka hivyo vikisubiri lami.

Taswira kwa hisani ya issa michuzi blog.
author

This post was written by: Author Name

Your description comes here!

Get Free Email Updates to your Inbox!
© Copyright Udaku Kijiweni
Back To Top