Featured

    Featured Posts

    Social Icons

    .
Loading...

Jaribu kuwa Wewe sio kama Wao

Mara nyingi huwa inasikitisha sana pale unapoona binadamu mwenzako anapopatwa na matatizo ambayo yako mengi katika ulimwengu huu tunaojaliwa na Maanani kuuona kila siku eti bado wapo watu ambao wanatumiwa ili kuwahujumu au kuwaangaza wenzao bila sababu eti nae huyu anasema wewe ni rafiki yako. Na haya matatizo hayachagui sehemu au mahala wapi yatokee au yasitokee,wakati mwingine unajikuta katikati ya haya mambo iwe ni kwa kupenda au kwa kutokupenda.Pia katika kuutafuta unga huu wa kila siku iwe kwa ajili yako au mwenzi wako na familia yako kwa ujumla mara kiii shida hiyo Pakutokea hakuna.Lakini kwa sababu Mungu si athumani hukutoa huko ukiwa salama na Maisha yanaendelea.
Najiuliza kwanini utumiwe mwanaume wewe ??
Kuwa kama wewe sio kama wao maana wao wako mbali sana na wewe hamfanani.
Mbaya zaidi kumekuwepo kwa watu ambao sijui wanatumiwa au vipi wao wakikuona ndani ya hali hii hufurahia sana au hufurahia kutumiwa na mabwana zao hao wanaowatuma.Ni aibu kwa kweli Kijana mwenye Familia kuweza kutumiwa ili kukuhujumu tu bila sababu ya msingi ili mradi kuwafurahisha mabwana zake.Ni nini atapata baada ya kuniona nimeanguka ? Najua hataninyanyua asilani. Ni aibu kwa mwanaume mvaa suruali kuwa hivi ?
Isitoshe ni muhangaikaji kama mimi ?
Tutatoka tu hata ubane vipi.......dadekiiii!!!!!
.
Jah Bless
Ananifanya niukumbuke wimbo huu wa Bob Marley(Who the cap fit) nikupe lyric yake:

Man to man is so unjust, children
You don't know who to trust
Your worst enemy could be your best friend
And your best friend your worst enemy

Some will eat and drink with you
Then behind them su-su 'pon you
Only your friend know your secrets
So only he could reveal it
And who the cap fit, let them wear it [repeat]
Said I throw me corn, me no call no fowl
I saying, "Cok-cok-cok, cluck-cluck-cluck"

Some will hate you, pretend they love you now
Then behind they try to eliminate you
But who JAH bless, no one curse
Thank God we're past the worse

Hypocrites and parasites
Will come up and take a bite
And if your night should turn to day
A lot of people would run away
And who the cap fit let them wear it [repeat]

And then a gonna throw me corn
And then a gonna call no fowl
And then a gonna "Cok-cok-cok, cluck-cluck-cluck"

Some will eat and drink with you
And then behind them su-su 'pon you
And if your night should turn to day
A lot of people will run away
Who the cap fit, let them wear it [repeat]
Throw me corn, me no call no fowl
I saying "Cok-cok-cok, cluck-cluck-cluck"

Ni Mimi mdau
Kaka Kodema
author

This post was written by: Author Name

Your description comes here!

Get Free Email Updates to your Inbox!

2 maoni

Ndio maana yake mkuu.Inabidi tubadilike maisha ni zaid ya hapo tunapofikiria.We have to think big

Reply
CodeNirvana
© Copyright Udaku Kijiweni
Back To Top