Liverpool wamerudi katika viwanja vya klabu Melwood kujifua kwa ajili ya Msimu mpya wa 'Barclays Premier League' huku wakionyesha matumaini mapya kwa msimu huu wa 2010/2011 baada ya kupata kocha mpya Roy Hodgson Pamoja na kusajili mashine toka Chelsea Joe Cole hivyo kuleta mshawasha mpya kwa mashabiki wa Bwawa la Maini kwa msimu huu.
Loading...
Post a Comment
CodeNirvana