Loading...
Mancini amshukia Fergie
Robert Mancini
Kocha wa Man City amembwatukia Sir Alex Ferguson kwa kumwambia kuwa wao si vichaa kumwaga mpunga wote huo katika usajili wa wachezaji wapya ambao wametumia paundi 130M katika kusajili wachezaji wapya toka mwisho wa msimu mpya.Meneja huyo wa City alisema ..timu zote zimetumia pesa nyingi katika usajili.Ni kawaida pale unapotaka mchezaji mzuri lazima utatumia pesa katika soko.
Post a Comment
CodeNirvana