Loading...
Fergie awashukia Manchester City
Kocha wa Manchester United Sir Alex Ferguson
Kocha Sir Alex Ferguson''Babu'' amewashukia jirani zake Manchester City kutokana na timu hiyo kumwaga pesa chafu kwenye kuwasaka wachezaji hivyo kumkasirisha kocha huyo wa United.Kwa miaka miwili au mitatu hivi timu hiyo imetumia paundi 325M katika usajili wa wachezaji lakini bado haijapata mafanikio yanayotakikana.
Sijui Babu keshaanza hisi joto toka kwa jirani zake hao ? Ni jambo la kusubiri na kuona.
Post a Comment
CodeNirvana