Loading...
Ngao ya Hisani Leo ndio Leo
Kikosi kipya cha wanajangwani
Kikosi kipya cha Wekundu wa Msimbazi
Leo kutakuwa na mtanange wa kukata na shoka kwa watani wa jadi Simba na Yanga za jijini Dar es salaam.Mpambano huo wa kugombea Ngao ya Hisani utapigwa mida ya saa kumi na robo katika uwanja wa Taifa hivyo macho na masikio ya mashabiki wa kandanda yakielekezwa huko ili kujua nani mbabe kwa siku hii ya leo.
Post a Comment
CodeNirvana