Ni kama vile mtangazaji anasema '' Nini tena pale Tevez anamchezea Ferdinand ndivyo sivyo pale''.Taswira ya mechi kati ya Man City na Man U iliyoishia suluhu
This post was written by: Author Name
Your description comes here!
Get Free Email Updates to your Inbox!
on Wednesday, November 10, 2010
4 maoni
Halafu eti kuna wadaio PICHA hazidanganyi!:-(
Replykwanini kaka ? Waionaje hiyo Mkuu simon
ReplyNilikuwa natazama hii picha ofisini na Mshikaji akapita na kudai:
Reply``Yani Tevez kamuingiza mkono Ferdinand kunako hadharani?, LOH´´ kitu ambacho kilikuwa hakijajisajili mawazoni kipindi hicho. Ndio kisa cha kuweka komenti hiyo hapo juu Mkuu!
Vipi Mkuu! Kwani wewe ulikuwa unaona nini katika taswira hiyo?
Mkuu nami bado nipo mawazoni Tevez anatafuta nini huko eeh bado sijapata jibu bado labda ana lake jambo..kwema lakini Mkuu huko thithi wadhima
Reply