
Mh.Joseph Mbilinyi a.k.a Mr.II-SUGu akiteta mawili matatu na wana habari ndani ya viwanja vya Bunge.

Mh.Samuel Sitta wakisalimia na Mh.Halima Mdee ndani ya majengo ya bunge Dodoma.

Dr.Willibroad Slaa akiwa mjengoni Dodoma akisalimiana na baadhi ya wabunge.
Picha kwa hisani:Wavuti