Loading...
Inter Milan kuivaa Tp Mazembe
Ni wachezaji wa Inter Milan Mabingwa wa Ulaya ambao wamewaondosha Seongnam IIhwa Chunma F.c Mabingwa wa Asia kwa mabao 3-0 katika mchezo wa Nusu Fainali uliofanyika mjini Abu Dhabi.Huku Diego Milito akitumbukiza kwenye kamba mabao mawili na lingine likiwekwa na Dejan Stankovic.
Hizo ni baadhi ya bunduki za TP Mazembe mabingwa wa Afrika kwa upande wa Vilabu watakaopambana na mabingwa wa Ulaya Inter Milan.Mpambano utakao pigwa huko Abu Dhabi siku ya Jumamosi.
Post a Comment
CodeNirvana