


Zahama ilimkuta mpiga picha kutoka Russia Sergey Kotelnikov, 44 pale alipojikuta gari alilopanda limeparamiwa na mtoto wa chui bila kujua katika mbuga za wanyama huko Namibia mpakani na Botswana.Mwishowe waliishia kucheza baada ya bwana huyo kutambua kuwa hakuwa na nia ya kumdhuru ila alimuacha na majeraha kidogo pamoja na kuvunja kamera yake vipande.
Picha:Daily Mail.