Loading...
Adha ya Usafiri Jijini
Usafiri katika Jiji la Dar es Salaam umekuwa shida kiasi ya kwamba watu wamekuwa wanabanana ndani ya daldal ili waweze wahi makazini kwao.Wakati mwingine inakubidi uwahi sana kuamka asubuhi kwa wale wanao fanya kazi mbali na makazi yao na kwa jiji hili idadi kubwa ya watu hufanya kazi mbali na maeneo yao wanayo ishi . Hii ilikuwa ni asbuhi ya leo 27/4/2012 katika daladala linafanya safar zake toka Tabata Segerea kwenda Tandika.Japo taswira ina mawimbi lakini unaona nyomi hilo au mikonozii juu.
Post a Comment
CodeNirvana