Featured

    Featured Posts

    Social Icons

    .
Loading...

Zitto kwenye ITV "Kumekucha" Aprili 25, 2012


Naibu Katibu Mkuu wa CHADEMA na Mbunge wa Kigoma Kaskazini ambaye ni Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Mahesabu ya Mashirika ya Umma amezungumza na ITV kuzungumzia masuala mbalimbali muhimu hasa masuala ya nishati na hoja ya kura ya kutokuwa na imani na Waziri Mkuu.
Video courtesy of Mwanakijiji YouTube Account
author

This post was written by: Author Name

Your description comes here!

Get Free Email Updates to your Inbox!

2 maoni

Kaka naona mambo yako,kurasa imetulia ila background colour bado kidogo haijatulia kwani rangi zote ni too bright.Jaribu kutafuta backroud colour ambayo ni a bit darker.

Amani sana mkuu.

Reply

KAka nashukuru sana ndio tunahangaika ili iweze kuonekana kwenye rangi nzuri na habari motomoto.Hilo la colour ndio mihangaiko hiyo tukitafuta ile iliyo nzuri tumekusikisia mdau tutarekebisha

Reply
CodeNirvana
© Copyright Udaku Kijiweni
Back To Top