Torres akishangilia goli sa kusawazisha lililoinyonga kabisa Barcelona jana katika Uwanja wa Nou Camp na kufanikiwa kufika fainali za Ligi ya Mabingwa wa Ulaya zitakazochezwa Munich,Ujerumani na kuwavua rasmi ubingwa mabingwa hao Barcelona.
Barcelona 2 Chelsea 2 (agg 2-3)
This post was written by: Author Name
Your description comes here!
Get Free Email Updates to your Inbox!
Filed Under:
Michezo
on Tuesday, April 24, 2012