Loading...
FA wamzengea Hodgson
Chama cha Kandanda nchini Uingereza kimesema kimeanza mazungumzo na Roy Hodgson ili akinoe kikosi cha Timu ya Taif nchini humo baada ya kuondoka aliyekuwa kocha Fabio Capello baada ya mzozo wa ubaguzi wa rangi wa uliomhusisha aliekuwa Nahodha wa timu hiyo ya taifa.Timu ya West Bromwich Albion
ndiyo kwa sasa inafundishwa Roy Hodgson.
Post a Comment
CodeNirvana