Loading...
Nyumba ya maajabu Tabata Ugombolwa
Kulikuwa na vibanda vya biashara maeneo hayo na vimeondolewa vyote na kubaki kimoja hicho kushoto kutokana na zahama la kupigwa mawe na mtu wasie mjua kiasi kilichopelekea kutokea kutokuelewana na majirani wakijua wao ndio wanao rusha mawe hayo
Kwa wale waliosoma Gazeti la Mwananchi jana walisoma habari kuhusu nyumba ambayo imehamwa na wapangaji wote baada ya kutokea mauzauza ndani ya nyumba hiyo yakiwemo kuwaka moto,kupigwa mawe na mtu wasiemjua na kupakwa kwa kinyesi cha binadamu ndani ya kuta za nyumba bial ya kumuona mpakaji wake mtafaruku huo umepelekea nyumba hiyo kukimbiwa na wapangaji wote.
Post a Comment
CodeNirvana