Loading...
Kamera yetu ufukweni.
Kamera yetu ya Kijiweni Rundugai ilitembelea moja ya fukwe jijini Dar es Salaam na kupata taswira mbalimbali.
Hapa ni baadhi ya bembea ambazo unaweza kuja pumzika kidogo baada ya shughuli za kulijenga Taifa
Wengine huamua kuja na mahema na kujipumzisha.
Michezo ufukweni nayo haikosekani pia nayo hapo uwanja ukisubiria wachezaji waje kupambana.
Kaunta nazo hazikosekani kwa wale wanataka kutii kiu hapo ni kwa vinywaji aina zote.
Taswira hii kwa mbaali watu wa rika mbalimbali wakijivinjari kwenye fukwe.
Post a Comment
CodeNirvana