Loading...
Tetesi :Diwani ajivua gamba Arusha ahamia CHADEMA
Kuna tetesi kuwa Diwani wa Kata ya Sombetini (CCM Arusha) ahamia chadema habari hizo zimetangazwa na East Africa radio hiyo ni baada ya aliyekuwa MWENYEKITI wa UVCCM, Mkoa wa Arusha,kwa miaka mitano, James Millya, kukihama chama hicho hiv karibuni.
TUTAWALETEA HABARI zaidi endelea kuifutilia Kijiweni Rundugai.
JUST IN:
Kituo cha Televisheni cha ITV KIMETANGAZA ya kwamba Katibu Mwenezi wa UVCCM Longido nae
tayari kazithibitisha na sasa ametangaza rasmi kujinga na CHADEMA.
Chanzo: ITV
Post a Comment
CodeNirvana