Loading...
Taswira za Ubungo
Hata wapita njia hawa walijiachia na njianai humo wakidunda kwa raha zao
Baada ya lile zoezi la kuwaondoa machinga maeneo ya Ubungo kusimamiwa na wenye maeneo hayo yaani TANESCO zoezi hilo limekuwa na tija kubwa sana kama unavyooona leo unaweza kutembea bila wasiwasi wowote ule wa kupigana vikumbo na adha nyingine kamera yetu ya kijiwe ilitembelea maeneo hayo na kukuta hali ikiwa shwari tofauti na enzi hizo ambapo Halmashauri za jiji zilikuwa zinaendesha zoezi hilo la kuwaondoa wafanyabishara ndogondogo almaarufu kama machinga walikuwa wakiliendesha wao na kuonekana kama mchezo wa kuigiza kwani ilikuwa wanaondolewa asubuhi saa nne wamerudi kama kawaida. Heko waliofanikisha zoezi hili.
Post a Comment
CodeNirvana