Loading...
Alichosema Mh.John Mnyika
Nasikia adhana, Hayya alas-swalaah; naendelea na mkesha kama wa Loyola kupitia kurasa 111 za mwenendo wa kesi (court proceedings), mpaka sasa nimeandika kurasa 21 za mchango wangu kuhusu majumisho (final submission) kutoka katika rundo la rejea za hukumu mbalimbali zenye misingi muhimu ya kisheria (fundamental legal principles). Nikimaliza kesho namwachia wakili wetu aendelee kwa upande wake, tutakutana mahakamani kesho kutwa tarehe 4 Mei 2012(ambayo ni leo Ijumaa). Tulitafuta kura pamoja, tukapiga kura pamoja, tukazilinda kura pamoja;, kwa pamoja tutaendelea kushinda. AMUA: Maslahi ya Umma Kwanza
Share · Yesterday at 4:18am FROM Facebook wall John Mnyika
Post a Comment
CodeNirvana