Featured

    Featured Posts

    Social Icons

    .
Loading...

Kibao cha Marufuku kinavyopuuzwa


Mdau akiwa kaegesha gari yake na kupuuza tangazo linalopiga marufuku watu kuegesha magari eneo hilo ili kupunguza msongamano katika njia hili.

Kwa karibu kabisa tangazo hilo likionyesha kwa ukaribu marufuku hiyo kwa Lugha mbili lakini mdau huyo hakujali na kulipaki gari lake hilo na kuendelea na shughuli zake. Tatizo hilo la kupuuza marufuku kama hizo limekuwa likijitokeza maeneo mengi sana katika jiji la Dar es Salaam.
author

This post was written by: Author Name

Your description comes here!

Get Free Email Updates to your Inbox!
© Copyright Udaku Kijiweni
Back To Top