Featured

    Featured Posts

    Social Icons

    .
Loading...

Baada ya Miaka 44 hatimaye Man City waliigeuza Jiji la Manchester rangi ya Bluu


Manchester City mabingwa wapya wa EPL baada ya kuitandika QPR magoli 3-2 hapo jana huku dakika za nyongeza zikiamua nani awe bingwa City wakifunga magoli mawili dakika za nyongeza huku Sergio Aguero akifunga goli dakika 3 na sekunde 20 katika dakika za nyongeza hivyo kuwapa City Ubingwa waliousubiri kwa miaka 44.Huku Picha za Televisheni zikimuonyesha kocha wa United akiwahimiza wachezaji wake warudi uwanjani kuwapungua mashabiki wakati huo Dzeko ndio anaisawazishia City kabla ya Aguero kumkata maini kabisa Sir.Alex Ferguson kocha wa Uninted.


Hii mwaka huu haikuwezekana kutolewa vilikokuwa vimefichwa kwani goli la Sergio Aguero lilizima kabisa maandalizi haya huko katika uwanja uwanja wa Light walipokuwa wanamenyana na Sunderland.
author

This post was written by: Author Name

Your description comes here!

Get Free Email Updates to your Inbox!
© Copyright Udaku Kijiweni
Back To Top