Loading...
Buguruni jioni ya Leo Wingu laleta tafrani
Hali ya hewa Jijini Dar es Salaam ilibadilika ghafla na kuleta tafrani kama ujuavyo watu tulivyo na uswahiba na mvua kila mtu alianza tafuta njia aliyotokea asubuhi ya leo ili aweze wahi nyumbani hapo ni Buguruni unaitafuta shell
Kituoni Shell wakisubiria daladala ziendazo Ubungo/mwenge na Tabata pia abiria wakilowana ili waweze pata usafiri.Ni maeneo ya Shell Buguruni leo jioni.
Kama uonavyo mvua imeshuka na kila mtu kuangalia usawa wake wale wa miamvuli haya daldal ndio usiseme kugombania kama kawa mjini hapa. Wanawahi nyumbani jamani ndio maana wanagombania.
Post a Comment
CodeNirvana

