Loading...
Dansi la Brazil walipoibanjua Marekani 4-1
Mchezaji Neymar(wa pili toka kulia) akifurahia kwa kucheza dansi na wachezaji wenzake baada ya kufunga goli moja kati ya manne ambapo Brazili iliibanjua Marekani Goli 4-1.Alifunga goli moja na kutengeneza mawili,mechi hii ilihudhuriwa na Waheshimiwa Wabunge wa CHADEMA waliokuwa huko Marekani katika ziara yao.
Post a Comment
CodeNirvana