Ni Ndege hiyo vijana hao wakipanda tayari kwa kupaa ndani ya Dar Live hiyo vijana hupata wasaa wa kufurahia siku.
Watoto wakifurahia michezo mbalimbali ndani ya Dar Live hii ni tarehe 27.05.2011 ambapo watoto wanaokuja na wazazi wao hupata wasaa wa kucheza na wenzao wengine humo ndani .Hapo wakipanda mifano ya Farasi na kuzunguka nayo huwapendeza sana watoto na kurufahia siku.
Loading...
Post a Comment
CodeNirvana